![Msichana Wa Elimu](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/38/D3/rBEeMlk5LRWATP-dAAEUAjcwCKY961.jpg)
Msichana Wa Elimu Lyrics
- Genre:Folk
- Year of Release:1968
Lyrics
Msichana Wa Elimu - Daudi Kabaka
...
msichana wa sura nzuri
ni nini kinakufanya usiolewe, elimu unayobya kutosha,hata ngambo ukaenda ukarudi
msichana wa sura nzuri, ni kitu gani kinakufanya usiolewe
elimu unayo ya kutosha, hata ngambo ukaenda ukarudi
ooh baby ona watoto wa nyuma yako
wameolewa wamekuacha unahangaika
ooh baby ona watoto wa nyuma yako wameolewa wamekuacha ukihangaika
msichana wa urembo kama wewe
onyeshe mapenzi kwa vijana
ukionyesha majivuno kwa vijana
utazeeka ukiwa nyumbani kwenu
msichana wa uremboa kama wewe
uonyeshe mapenzi kwa vijana
ukionyesha majivuno kwa vijana
utazeeka ukiwa nyumbani kwenu
(miaka yaenda mbio sana nasura yako ikichuchuka)×2
pengine tabia zako ndizo mbaya
aaeli kwa kweli dada usijivune
kwanza mimi nilitaka nikuoe
ukaringa eti sina masomo×2
ooh baby miaka yaenda mbio sana na sura yako ikichipuka
msichana wa sura nzuri ni kitu gani inakifanya usiolewe elimu unayo ya kutosha hata ngambo ukaenda ukarudi