![Ufujara Sio Kilema](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/09/980c1d4894e64e6e9001185f8ecba2c6_464_464.jpg)
Ufujara Sio Kilema
- Genre:Benga
- Year of Release:2021
Lyrics
Ufujara Sio Kilema - Les Wanyika
...
Naamini unaenda utarudio, Hata kama siyo leo wala keshoe, mimi ni wako mamaaaa, na yaangu shelii maama, mbona hivyo mwenzangu mamaa, waniacha kisa ninio o niniee Siyo nia yangu ni we masikinioo, uamuzi wake mungue mamaa, ufukaraa o bibiee si kilemaaoo shelii mama, naamini iko siku mamaa nitakuwa kama walee fulaniee Kumbuka mama mwenyewe uliapaee, tutaishi tutenganishwe na kifoee, ninajuta sikujua oooo!mama, hukuishi kimapenzi mwana mamaa heyaaa, Heeeee! Ukumbuke mamaaa haaaa sikuwa hivyo mwanzoo heeee, dunia kigeugeu haa leo hivi kesho vile mamaa Heee! Ufukara si kilema haa ndiyo hali ya dunia hivyoo sitovunjika moyoo mama yoyoo siku yangu itafikaa na mimiooo hyaa
Similar Songs
Listen to Les Wanyika Ufujara Sio Kilema MP3 song. Ufujara Sio Kilema song from album Ufukara Sio Kilema is released in 2021. The duration of song is 00:09:18. The song is sung by Les Wanyika .
Related Tags: Ufujara Sio Kilema, Ufujara Sio Kilema song, Ufujara Sio Kilema MP3 song, Ufujara Sio Kilema MP3, download Ufujara Sio Kilema song, Ufujara Sio Kilema song, Ufukara Sio Kilema Ufujara Sio Kilema song, Ufujara Sio Kilema song by Les Wanyika , Ufujara Sio Kilema song download, download Ufujara Sio Kilema MP3 song
Comments (5)
Top Comments (2)
128766470
very sweet African song >
New Comments(5)
Lillian lawino
my song ever
ziddah Jr
my play list
128766470
❤️❤️
very sweet African song
❤️❤️>