![African Twist](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/38/D3/rBEeMlk5LRWATP-dAAEUAjcwCKY961.jpg)
African Twist Lyrics
- Genre:Folk
- Year of Release:1968
Lyrics
African Twist - Daudi Kabaka
...
Nilikuta bibi wakwanza Nairobi,aka nipenda na Mimi nikampenda nikamuuliza kama ana bwana akanijibu Sina hata mpenzi×2
Nikaenda nayee mpaka kwake shauri moyo kwa nyumba za tumbako,nilipolala nikasikia hodi hodi 'fungueni ni Mimi mwenye nyumba'×2
Hivi akileta aibu sana sana kuapa Mimi na yule bwana tungepigana Mimi na yule bwana tuumizane wewe ungefanyaje?×2
Nilikuta bibi wakwanza Nairobi aka nipenda na Mimi nikampenda nikamuuliza kama ana bwana akanijibu Sina hata mpenzi×2