![Bachelor Boy](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/38/D3/rBEeMlk5LRWATP-dAAEUAjcwCKY961.jpg)
Bachelor Boy Lyrics
- Genre:Folk
- Year of Release:1968
Lyrics
Bachelor Boy - Daudi Kabaka
...
mimi ni bachelor boy
nitaoa kutoka wapi
na siku sasa zinapita
loh Rora hera
mimi ni bachelor boy
nitaoa kutoka wapi
na siku sasa zinapita
loh Rora hera
wasichana hutuma barua
niende kwetu niwaoe
lakini mimi siwezi
kuacha raha za mjini
wasichana hutuma barua
niende kwetu niwaoe
lakini mimi siwezi
kuacha raha za mjini
Baba na mama huniambia
kabaka wetu uko na raha
mwisho wake usilie
deni ya raha n taabu
Baba na mama huniambia
kabaka wetu uko na raha
mwisho wake usilie
deni ya raha n taabu
baba na mama nifanye nini
ili sasa nikaoe
na wasichana wa sikuizi
hawataki kuolewa
baba na mama nifanye nini
ili sasa nikaoe
na wasichana wa sikuizi
hawataki kuolewa
kuoa kweli
jambo la kawaida
kuzaa rahisi lakini kulea ni shida