![Kondakta Wa Mapenzi](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/29/4bd6011caf874698a5473f08b62cf4f9_464_464.jpg)
Kondakta Wa Mapenzi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Kondakta Wa Mapenzi - Vivian (KE)
...
Intro
Natafuta real love, natafuta true love
natafuta mpenzi si kondakta wa mapenzi
Natafuta real love, natafuta true love
natafuta mpenzi si kondakta wa mapenzi.
Nataka mpenzi, anayeniwaza, ninayemuwaza
nikimkosa sina raha aye
Dakitari sukari awe akinitibu, asiniadhibu
Sitaki kuwa mali ya umma, mali ya watu
mi nataka kuwa wako baby boo
mimi sio mali ya umma, mali ya watu
mi nataka kuwa wako du du du.
Kuna wengi wananikujia eti wananipenda
wengi wao ni kondakta wa mapenzi
Kuna wengi wananikujia ila wananitesa
sitaki wao ni kondakta wa mapenzi
Natafuta real love, natafuta true love
natafuta mpenzi si kondakta wa mapenzi
Natafuta real love, natafuta true love
natafuta mpenzi si kondakta wa mapenzi.
I'm a giver, I'm not a diva
ukinishika, nashikamana
so if you're here to stay,
I'll be here baibe
bora usinibebe for a ride.
Moyo wangu mwepesi haujui kutenda mtu,
sijui kulenga mtu,
moyo wangu ni wa kupenda tu.
Moyo wangu mwepesi haujui kutenda mtu,
sijui kulenga mtu,
moyo wangu ni wa kupenda tu.
Kuna wengi wananikujia eti wananipenda
wengi wao ni kondakta wa mapenzi
Kuna wengi wananikujia ila wananitesa
sitaki wao ni kondakta wa mapenzi.
Natafuta real love, natafuta true love
natafuta mpenzi si kondakta wa mapenzi
Natafuta real love, natafuta true love
natafuta mpenzi si kondakta wa mapenzi.
Moyo, ukipenda moyo,
hautambui kurudi nyuma.
Moyo, ukipenda moyo,
hautambui kurudi nyuma.
Sitaki chali wa kudondoka, dondo dondoka,
Sitaki chali wa kudondoka, dondo dondoka,
Sitaki chali wa kudondoka, dondo dondoka
Sitaki chali wa kudondoka, dondo dondoka.