Simpo Simpo ft. Stivo Simple Boy Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Simpo Simpo ft. Stivo Simple Boy - Vivian (KE)
...
Mavo on the beat
Mwanzo nilikuona
Picha yako ilipostiwa kwenye twitter nikatamani
Ah Vivian, Ah Vivian
Nilijua huwezi amini
Nikajiuliza nitafanya vipi uwe na mimi
Iwapo si kawaida
Na sasa ni kumoto moto
Mi ndo wako mtoto toto
Ninacho hisi ni rojo rojo
Napenda zako simpo simpo
Uko simpo, napenda njaro zako simpo
Ndio maanake Uko simpo,
napenda njaro zako simpo Ndio maanake
Na sasa ni kumoto
Mi ndo wako mtoto Ndio maanake
Ninacho hisi ni rojo
Napenda zako simpo simpo
Sweet , sweet heart njoo karibu nami
Nikupe penzi kwako nipige kambi
Mimi nakuenzi bila we sijiwezi
Mapenzi si watatu bali ni ya wawili
Ukiwa mbali mpenzi nadondokwa na machozi
Usinipe headache, usinipe heart breaki
Njoo kwangu Ma'a unipe ma lovey dovey
Wewe ni dakitari njoo unitibu nisipate maumivu
wangu tabibu kwangu ushaafika nakwambia karibu
Njoo kwangu maa nikushike taratibu bila aibu
Ndo maanake
Uko simpo, napenda njaro zako simpo
Ndio maanake Uko simpo, napenda njaro zako simpo
Ndio maanake Na sasa ni kumoto
Mi ndo wako mtoto Ndo maanake
Ninacho hisi ni rojo
Napenda zako simpo simpo
Mashup di ting anytime unadai
Nimekukufia na siwezi kufufuka
Nipe vitu, mahaba,
venye unafanya ninafeel si kawaida
Burn Calories, Burn Calories
Niperembe perembe ni ka ni hobby
Si unajua me upenda watukutu
Dont be shy come leť's get naughty
Na sasa ni kumoto moto
Mi ndo wako mtoto toto
Ninacho hisi ni rojo rojo
Napenda zako simpo simpo
Uko simpo, napenda njaro zako simpo
Ndio maanake Uko simpo
napenda njaro zako simpo Ndio maanake
Na sasa ni kumoto Mi ndo wako mtoto
Ndio maanake Ninacho hisi ni rojo
Napenda zako simpo simpo
Na sasa ni kumoto moto
Mi ndo wako mtoto toto Ndo maanake
Ninacho hisi ni rojo rojo
Napenda zako simpo simpo
••••••••••••••••••√√√√√√••••••••••√√√√√√√••••••