![Chachisha ft. Sosuun](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/29/4bd6011caf874698a5473f08b62cf4f9_464_464.jpg)
Chachisha ft. Sosuun Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Chachisha, tumekuja tu kuchachisha
Vivian, Sosuun
Tumekam tu ki-rende,
sisi ndo wale madada wembe
Tumekuja kutesa, tesa, tesa.
Whoaaaa, ni kama kumekucha
wasichana tengeneza kucha
na mukuje na gari nina mafuta
leo ni kuparty hadi kucha.
Usinishike ka we si afande (afande)
songa mbali toka yangu upande (upande)
kaa na mikono yako usinibambe
sipangwingwi labda nikupange, whoaaa
Supuu, wanashinda wakiniita msupu
wanafanya hata najishuku
kwani ni nini nafanya huku.
Kama ni wine mi ni fine wine
kama ni time si nabuy time
kama ni line usicross mine
ju mimi si wa mutu
Chachisha, tumekuja tu kuchachisha
tumekuja tu kuchacha
chachisha, tumekuja tu kuchachisha
tumekuja tu kuchacha
chachisha, tumekuja tu kuchachisha
tumekuja tu kuchacha
chachisha, tumekuja tu kuchachisha,
chachisha chachisha.
Miguu ndogo but kila nikistep wanafeel mainchick
aka mistari tycoon nimebeba bunda ya doh bigi ka haga ya risper (si ye ni wife wa Razy)
mafisi wanawhisper
handele handele mama, iya iya
hapa ndani tumekuja kuchachisha chisha
Waiter double kila kitu naitisha tisha
Viv mbona meza yetu haina sheesha sheesha.
sssshh, ah ah ah
me and my girls just wanna have some fun
piga sherehe kikanairo, rombosa
tunatesa, tunakaa poa na tuna pesa
na hio attitude pole sana, you know you can't hang with us, no way
hapa ni good vibes, tunapenda good life YOLO mtu wangu jinyce.
Chachisha, tumekuja tu kuchachisha
tumekuja tu kuchacha
chachisha, tumekuja tu kuchachisha
tumekuja tu kuchacha
chachisha, tumekuja tu kuchachisha
tumekuja tu kuchacha
chachisha, tumekuja tu kuchachisha,
chachisha chachisha.
Tumekam tu ki-rende,
sisi ndo wale madada wembe
Tumekuja kutesa, tesa, tesa.
Tumekam tu ki-rende, sisi ndo wale madada wembe
Tumekuja kutese, tesa, tesa.
Chachisha, tumekuja tu kuchachisha
tumekuja tu kuchacha
chachisha, tumekuja tu kuchachisha
tumekuja tu kuchacha
chachisha, tumekuja tu kuchachisha
tumekuja tu kuchacha
chachisha, tumekuja tu kuchachisha,
chachisha chachisha.