Masharti Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2020
Lyrics
Masharti - Vivian (KE)
...
Vivian Vivian Vivian
Eeh iyeeah yeah
Iyeeah
Mapenzi bila masharti (masharti)
Nakupenda bila masharti (ooh masharti)
Ninakupenda my soldier
Izidishe more more more
Uniongeze na madollar
Njoo kwangu njoo njoo njoo
Baby nakufikiria daily
Hapa nakuandalia keki
Tuikate mi na wewe baby
Coz' am in love with you
Baby nakufikiria daily
Hapa nakuandalia keki
Tuikate mi na wewe baby
Coz' am in love with you
(Instrumentals)
(Coz' am in love with you)
Leo keja kutawaka fire
(Omutima kwe koko)?
Aki anani leo lazima utanisort
Babyboy we koko
Mapenzi bila masharti (masharti)
Nakupenda bila masharti (ooh masharti)
Sitasikia another men's stories
Sipendi uongo
Ninachoona nikikutazama
Ni moyo wako
Baby nakufikiria daily
Hapa nakuandalia keki
Tuikate mi na wewe baby
Coz' am in love with you
Mapenzi bila masharti (masharti)
Nakupenda bila masharti (ooh masharti)
(Instrumentals)
Vivi eh eh eh
(Instrumentals)