Siwezi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Siwezi - Jessie
...
Nikitazama kioo naiona aibu usoni mwangu,
Niloyafanya ndio yanoniadhibu maishani mwangu,
Nikijikaza ndio naongeza maumivu
Moyoni mwangu uuh uuh!
Mana nlokupoteza ndio
Ulikuwa muhasibu wa fungu langu oouuooh!
Lakini uko sawa mwaya,
Hukufanya vibaya,
Acha haya hanitokee,
Japo usisahau bado nakuhitaji,
Na naamini huwezi ruhusu nipotee...
Nakiri upo sawa mwaya,
hukufanya vibaya,
Acha haya yanitokee,,
Japo usisahau bado nakuhitaji hii...!
So anisamehe....
(Nisamehe ×3 )
Siwezi kuwa mwenyewe
(Siwezi×2)
Kuwa mwenyewe
Aah Nisameheee... hiyee hiyee
(Nisamehe×3)
Siwezi kuwa mwenyewe
(Siwezi×2) kuwa mwenyewe
Kuna muda nakufuru,
Nahisi kama unanionea
Maana si kwakunikomoa huku
kwani wangapi wanakosea
eeehi! Hali ya kuwa niko huru
ila najiona ka napotea,
Amani sina tena kwasababu right now
siamini yanayotokea