Roho Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
Roho - Jessie
...
Verse
naitwa my boo! naitwaga dear,Leo namwaga Siri za ndani,nabebwaga juu presha inatulia Nampa sio madobe shabani,ooooh nishazama Tena,nishapenda Tena wakwangu pekee
nshampa na roho atake nini Tena
pumzi ya kuhema utaniua weweee
chorus
wolololololo×6
waja (nalishwa sweet love)2 nimepata pain killer×2
verse
mahaba mahabani huba limekolea atake nini intake nini ye ananipea
mwaya oooh mwaya siwezi saliti ntaona haya
(Leo nataka ntoke (na wewe)×
nataka nikeshe (na wewe )×3 )×2
waja (nalishwa sweet love)×2 nimepata pain killer
wolololololo×6