Yesu Wangu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Yesu Wangu - Alice Kimanzi
...
Chorous
Sitamuonea haya huyu yesu wangu
Anipenda nami nampenda x2
Aya aya ya ya ayah ayaha
Anipenda nami nampendax2
Verse
Machozi yangu kayafuta
Mizigo nilioibeba kanituaaaa (yesu)
Sitomuonea haya huyu yesu wangu (kwaniye)
Anipenda nami na mpendaaaaaa
Msaada wa karibu, rafiki alie majibu
(yesu weeeee)
Mwaminifu kila siku
Sitomuone haya huyu yesu wangu anipenda nami nampenda,
Nilipo teseka dhambini kanihurumia(hurumiaaaaa)
Kashuka toka mbinguni kaja kanihudumia
(Kanihurumiaaaa)
Kanitoa mavumbini kaniketisha juu zaidi
(Yesu weeee nampendaaaaa)
Ah ahya aya aya aya ayaayaya
Ayaya ayayaaaaaaaaaa
Mungu ni mwema yoyoyo ayeeeeex2
Anatupenda,mwaminifu, alitufia, habadiliki x2
Upendo wako (ololooooooo)
sijapata kwingine(oyoyooooo)
Ushindi kama wako( ololoooo )
Sijapata kwingine( oyoyoooo)
Neema kama yako(olololooo)
Sijapata kwingine(oyoyoooo)
Uzimaa kama wako(ololoooo)
sijapata kwingine(oyoyoooo)
Anapasua njia ( pasipokuwa na njia)
Namito ya maji( katikati ya jangwa)x2
Yesu wangu anapasua njia
Cheza oyoyoooooooooooo
Mungu ni mwema yoyoooooo ayeeeee