Yuko Mungu ft. Paul Clement Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Yuko Mungu ft. Paul Clement - Alice Kimanzi
...
Giza, Totoro lanizingira
miale haijanifikia
ilhali kumekukucha pambazuka,
Imani yashuka yadidimia
amani nayo yafifia...
eeh eloih.. lamasabatani....
Yuko Mungu Anayeweza
Yuko Mungu aanayetenda,
Mwamini yeye, Mwamini yeye
hutohaibika...
Giza likiwa ni zito bwana atawasha(atawasha taa aa..)
sasababu yeye ni Mungu mwenye hamasa
atarejesha amani (atarejesha amani) atarejesha furaha(atarejesha furaha)
ulivyovipoteza kwa muda mrefu atarejesha mara.. ooh yuko
Yuko Mungu anaeweza ( kufanya miujiza )
Yuko Mungu anayetenda
mwamini yeye, mwamini yeye
hutohaibika...
Yuko Mungu anayeweza
Yuko Mungu anayetenda
mwamini yeye, mwamini yeye
hutoaibika.....
Pale ninaposhindwa Nani wa kuniwezesha (Mungu pekee ndiye awezae)
na nikiwa vitani Nani wa kunishindia (Mungu pekee ndie awezaye)ooooh..
Ninapokuwa mdhaifu Nan wa kunipa nguvu (Mungu pekee ndie awezae)
Ninapotia Shaka Nani wa kuniongoza (Mungu pekee ndie awezae)ooh ooo...
Yuko Mungu Mungu Yuko
oohooo ooo...
Yuko Mungu anayeweza
Yuko Mungu anayetenda (asiyeshindwa.. Mwamini, mwamini)
Mwamini yeye, mwamini yeye
Hutohaibika....
Yuko Mungu anayeweza(asiyetikisika)
Yuko Mungu anayetenda (asiyedanganya...) (asiyeshindwa...)
Mwamini yeye, mwamini yeye
Hutohaibika...