Nikuabudu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Nikuabudu - Alice Kimanzi
...
Moyo wangu wakutamani ewe baba , mwili wangu wangu wakulilia,
Kama vile ayala atamanivyo maji akiona kiu .
Moyo wangu wakutamani ewe baba mwili wangu wakulilia, kama vile ayala atamanivyo maji akiona kiu..
Nikuabudu bwana aah nikuabudu
Ndio tamaa yangu milele yesu nikuabudu.
Ninapofadhaika, nitakimbia hekaluni mwako,na nitaimimina nafsi yangu mbele zako bwana.
Kwani upendo wako , ni wimbo wa kunituliza , jina lako tegemeo tena ngome iliyo imara.
Hapa chini ya bawa zako, sala ni moja , kwamba kwa macho haya yangu niuone utukufu wako ,, tenda miujiza, tenda maajabu, kwani fadhili zako ni bora kuliko uhai
Amen amen amen........