Asifiwe Leo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Asifiwe Leo - Alice Kimanzi
...
anayefaa sifa na utukufu
aliyevikwa na utakatifu
ndiye Mungu wetu
amejaa na ukarimu
tena ye ni tabibu
mwenye fadhili na rehema aah
baraka na neema
ndiye Mungu wetu
chemi chemi ya wema aah
mlinzi wangu mwema
ndiye Mungu wetu
asifiwe asifiwe leo
asifiwe
asifiwe sasa
asifiwe
asifiwe hapa
asifiwe
atutiae nguvu
ashikiliae mbingu
ndiye Mungu wetu
atalulishaye mbivu Yesu
katia mvua kwa mawingu
ndiye Mungu wetu
rafiki wa karibu
nguvu zake mdhaifu
ndiye Mungu wetu
tegemeo letu eeh
Mungu wa Miungu
ndiye Mungu wetu
asifiwe asifiwe leo asifiwe asifiwe sasa asifiwe
asifiwe hapa
asifiwe
asifiwe leo asifiwe sasa
asifiwe hapa
asifiwe
milima yaruka kama ndama
kwa uwepo wako
angaza itangaze
kazi ya mikono yako
haulinganishwi
haufaninishwi
wewe pekee
asifiwe asifiwe leo
asifiwe asifiwe sasa
asifiwe asifiwe hapa
Yesu asifiwe
Asifiwe leo
asifiwe asifiwe sasa
asifiwe asifiwe hapa
asifiwe
asifiwe leo
asifiwe sasa
asifiwe hapa
asifiwe
asifiwe leo
asifiwe sasa
asifiwe hapa
kwa zeze na vinubi
kwa shangwe na nderemo
kwa vigelegele vigelegele vigelegele
kwa kuimba na kucheza
tumshangilie Yesu
wapi vigelegele vigelegele vigelegele asifiwe
kwa zeze na vinubi
kwa shangwe na nderemo
wapi vigelegele vigelegele vigelegele
asifiwe!