![Kirimino](https://source.boomplaymusic.com/group1/M0B/2B/5E/rBEehl1db3SAM_LYAABJak542Ws677.png)
Kirimino Lyrics
- Genre:Gengetone
- Year of Release:2019
Lyrics
Si hio ni kirimino, hio ni kirimino
Si hio ni kirimino, hio ni kirimino
Si hio ni kirimino, hio ni kirimino
Si hio ni kirimino, hio ni kirimino
Yo ni kirimino
Kama ndlama buda boss kama vindio
Me nacheki blue we unacheki indigo
Nakupenda ata ukinita indiot (Aiii!!)
Yo ni krimino
Ukirombosa ile part more critico
Ukidai can we get more physico
Ukiwasha gode past baze scenico
Yo ni kirimino, You're a kirimino
Ntakupata pale mbele kwenye pinaco
Leo Nairobi kesho nakucheki Singapore
Uku kwetu jo si karibu na liquor store (Aiiii)
Si hio ni kirimino, hio ni kirimino
Yo ni Kirimino
Ita soldier kuna vile tume vamiwa
Na mabooster wote leo wame fagiwa
Manzi wangu wanadai kum katia
Na yee ni chizi mazee, Anawapatia
Utamu wa pesa ni kujibebea
Ndo makirimino wasichecki nikipepea
Na magova wakizusha ninajitetea
Huezi nipata pale tao nikilegea
Manze mtaani zimeshika tu ki de gea
Red devils betslip nime ekelea
Ikaogelea, nitaendelea kweli
Si hio ni kirimino, hio ni kirimino
Yo ni kirimino
Donne yeng na maweng El matador
Nina Mali toka Kenya hadi Mexico
Ka ni mchezo mi napenda El classico
Kan ni pongi naiendesha kama Bicyco
Ka ni simu mi nabonga kwa materminal
Na kwa meza nawameza kama ANIMAL
Wakilia nawatibu kama Panadol
Na ikizidi naongeza Parasitamol
Ka umesota na umedunga We ni kirimino
Ka una sponyo na unaishi getho we ni kirimino
Una haga na huna sura we ni kirimino (Aiii!!)
Sio hio ni kirimino, hio ni kirimino
--- www.LRCgenerator.com ---