![Make Up](https://source.boomplaymusic.com/group1/M1C/AD/AD/rBEehl56W6yANFvBAABCUAWE0ns964.png)
Make Up Lyrics
- Genre:Gengetone
- Year of Release:2020
Lyrics
Make Up - OCHUNGULO FAMILY
...
siri ya urembo ni make up...mmmh
ni make up
siri ya urembo ni make up
ni make up
si urembo ni make up...mmh
ni make up..
si urembo ni make up
ni make up
hello hello ni maybelline
ni alejandro
ntakusaidia aje lynne
mlisema kutakua na offer juzi
ati mtafanya nikae kama chun-li
ati mtafanya nikae italian wa azzuri
ati kuna venye eyelash zenu ni mwavuli
ati pata pesa ndio utajua maana ya sabuni
usipake foundation ukiwa na vumbi
kuna dem anachanga changa
anabuy make up ya kupaka paka
kuku kuku manga manga
turi turi dara dara
(chorus)
siri yangu wen i wake up
i bake up
siri yake wen she wake up
ni make up
atoti mascara
lipstick imekaukia kwa sigara
clop top umebuy ya pass ngara
swara swara mi nagwara
dem hutoa maziwa na hakulagi nyasi
wazi wazi unaeza jua kana wasi wasi
ni karembo kanapiga hadi nywele pasi
sidechick ndio huacha lipstick kwa shati..aaih
(chorus)
seti seti seti hio turi wilbroda
seti seti seti kigode na mafathela
di nikona keys for the city
king pin streets za ii city
tycoon mpaka kariobangi
paka juu ya goro na majiri
mi ndo madame huleta ushuru
madame mapoko uzia uhuru
madame mapedi buruburu
madame masafra kutoka uthiru
ee aye...ee aye...ee aye...ee aye
dj ongeza volume ndo tu
niangushe speaker
namdinya na g-bag
ka ni wa thika
namdinya na njiva
namdinya ka fifa
akinkasirisha
namdinya kwa pipa
namdinya kwa nissan ukinilipa
ntamdinya kwa g-class
aiyaaayaayaayaya
nabonga vle nataka
hamwezi nkataza
kainakuumiza
kuna daudi kabaka
ndo upate baraka na
ukiniuliza
unapenda mahaga
ya dem kahaba
na akikulisha
utalazwa kenyatta
ushone virakaa
ezekiel mutuaaa
naskia mtoi wako anaskizaa gengetone
ezekiel mutuaa
naskia bibi yako
anapenda gengetone
mahater hater ni wengi
nawatahiri leo na masheti
ao bitch walikua kwa gazeti
headline news
telly
na leo sikam harusi
nakam na bakuli imejaa matusi
nawamada ka h i virusi
mnatupangia sisi mazishi
wajinga wajinga
wajinga nyinyi
wajinga wajinga
mutuache sisi
wajinga wajinga
wajinga nyinyi
wajinga wajinga
mutuache sisi