![Thutha](https://source.boomplaymusic.com/group2/M21/D5/33/rBEeM16YbcCAb0ntAABNjo9P-JY660.png)
Thutha Lyrics
- Genre:Gengetone
- Year of Release:2020
Lyrics
Thutha - OCHUNGULO FAMILY
...
niaje baby girl watoka pande gani
Mii napenda tu izo thuta
na staki para zako za kirejareja
Mii napenda tu izo thuta
nakushake shake ukinilolalola mummy
Mii ndio bad man
Ukishake shake ukidondo dondo dondosa
wewe ndio bad gal
zikidundadunda wanakwachukwachu ngoma zetu ndio mudder dan
wakibongabonga tunagongagonga adi
Uko dar es salaam
Atoti ee machandowiya
big big ciander wanatingisha
wamevaa booty short wanachachisa
ochungulo family yabadilisha
Mii Ni raster man natoka southy
Mr.eight song zimewashika
nai robbery iko 911
remure uku jiji ndio anawateka
niaje baby girl watoka pande gani
Mii napenda tu izo thutha
na staki para zako za kirejareja
Mii napenda tu izo thutha
niaje baby girl watoka pande gani
Mii napenda tu izo thutha
na staki para zako za kirejareja
Mii napenda tu izo thutha
nikulambe kama poro nicheze Kama goru
nitoke mbele yako ukinicheki kwenye mbulu
natetemesha jiji bila long'i ya faulu
ras nipee ata kobole ninunue mabuyu
Ee na baby ninadai mashakazulu
nashikwa na malwethe ukitingisha kulukulu
machali wa lalang'ata na madem wa buruburu
Wote wanataka tu kuhama kitusulu
pilkapilka za maboy wanati Ni kuleta zogo dunda
pilkapilka za watanashati ni kufika bei ya thutha
ndizi inapenda thutha imevimba
pepeta iO Kitu Kama kimachine gun
ntakupiga chum stone kibatista
dictate iO haga kama Hitler
bumper yako nyuma inakaa ya bima
nilidhani hata umeweka filter
wee ni peng ting gal ka Camila
body yako ni ya rave si ya filder
siku hizi mnaniita alihandro
jamaa anapenda thutha na scandal
light skin BBW wa Ku handle
ochungulo tuko lit kama candle
itabidi wameanza kuwa humble
siku hizi mazee standards zili double
haga tunadeal nazo zina bubble
Ee kuja nikusample
ah niaje baby girl watoka pande gani
Mii napenda tu izo thutha
na staki para zako za kirejareja
Mii napenda tu izo thutha
ah niaje baby girl watoka pande gani Mii napenda tu izo thutha
na staki para zako za kirejareja
Mii napenda tu izo thutha
listen 2019 ni mathutha
thutha