![Sina Mwingine](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/13/f596772f67bb410cb4f887c418a69ad9_464_464.jpg)
Sina Mwingine Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Sina Mwingine - Kibonge Wa Yesu
...
usie wa maneno wa vitendo.
ukiahidi unatimiza ooh ukianzisha una maliza ooh.
umeziba pengo ukanipa mpenyoo badala ya misemo ukanipa nenoo. limurike njia zangu nisipotee mbele ya adui zangu lini tetee
nikisema afadhari si afadharii nikisema angarau si angarauu.
ooh dady Yale umefanya kwangu yamefanya ni fall in love with you Yale umetenda kwangu yamefanya ni fall in love with you.
yesu wanguu nakupendaa si unajua sina mwinginee nakupendaa langu tegemeo msaada ni wewe nakupendaa.
mwanaume mteule wewe ni pendoo umenifundisha pendo nilijue.
we ni mwanaume mteulee eeyeh umenifundisha pendo nilijue eeyeh.
Hulia na wanao Lia hucheka nawanao cheka na kubeba aibu na masikitiko ya wenye huzuni aah Upendo wako hauelezeki ooh
hakili zako hazichunguziki.
nikisema afadhari si afadharii nikisema angarau si angarauu.
Oooh dady Yale umefanya kwangu yamefanya ni fall in love with you Yale umetenda kwangu yamefanya ni fall in love with you.
yesu wangu nakupenda si unajua sina mwinginee nakupenda langu tegemeo msaada ni wewe nakupenda.
yesu wangu nakupenda si unajua sina mwinginee nakupenda langu tegemeo msaada ni wewe nakupenda.
(kiboo!)
(melodizaa)
(monanzambe!!)?
milele bwana sikwachi, milele bwana sikwachi.
milele bwana sikwachi, milele bwana sikwachi.
milele bwana sikwachi, milele bwana sikwachi.
milele bwana sikwachi, milele bwana sikwachi.
Eeeh milele bwana sikwachi , milele bwana sikwachi.
ale ale ale sikwachi, milele bwana sikwachi.
Adance!!, adance!!, ko binaghwa.