Waambie Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Waambie - Kibonge Wa Yesu
...
grade master
Nenda waambie ee wajue mungu ananipenda ×2
Ile mitego tego walonitegea ameitegua aaah
na mipaka yote niloekewa wameiondoa aaah
wakafanya mpaka matambiko oooh
ili niweze potea
kwa huruma za mungu bado nipo oooh yeye amenitetea aaa
wamezuia maji kwa chujio na yameshindwa yao majaribio
mola ndo mpaji mafanikio yalotoka kwake akisema ndio ooo
ameniongeza hatua aaah mbele ee nasogea aah sipo pale pale nilipokua janaa × 3
nenda waambie eeh wajue ee mungu ananipenda × 4
............
kwa vile ananipenda aah kivyovyote nitaseema
hakuna atakayezuia hata kwa yoyote hiilaa
na aaa ameyaweka mambo sawa aaah
na sasa mimi niipo salama
ameniongeza hatuaaa mbele nasogea
sipo pale pale nilipokuwaaa jaaana aah × 2
(ameniongezaaa)ameniongeza hatua (mbeleee) mbele nasogea,(sirudi nyuma tena)sipo pale pale nilipokuwa jana aaah
(nakutumaaa waambieee) nenda waaambie (waambie eee)wajue mungu ananipenda
(anavonijalii iii) nenda waambie (ananipenda) wajue( ananitunza yeeyee) nenda waambie eee wajueee mungu ananipendaa × 2
......
......
kibooo
melodizaa aaaah