![Ahsante](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/22/80a913635f8f43af95dccb356174c4ab_464_464.jpg)
Ahsante Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Ahsante - Kibonge Wa Yesu
...
Lele lele leleeh
Kila siku kuona jua linavyo pambazuka kwangu si kawaidaa (ohooo)
Kuna wakati na ugua vile na pona kwangu si kawaida (ohoooo)
Kuna wakati nilivunjaga nasikukupendezaa ila bado ukunipunguza ukaniongeza (eh)
Wema wako auna mfano kwamba nitaelezaah
wewe bwana waniinua hata nikiteleza (hey yeh)
Yote uliofanya sijayasahau ni yathamani ihii
(Aah aye) hey yeee
Nimeyakusanya nayaleta kwako yawe shukurani ihii (Aah aye)
Yabebwa na neno mojaaah...
Asante Bwanaa Mungu Wangu eeeh
Ninakushukuru Bwanaa Ninakushukuru Bwanaa
Asante Bwanaa Mungu Wangu eeeh
(eeeeeeeeh )
Sijaonga chochote umenipa uzimaaa
Asante Bwanaa Mungu Wangu eeeh
Kile ulichoona Nikidogo kwangu nikikubwaaah
Asante Bwanaa Mungu Wangu eeeh
(eeeeeeh e eeh Ndagha Kyalagwangu)
Umeyageuza matanga yangu kuwa machezooh
Umezibeba na Fedheha zangu Tabu na Matesooh
Sikina si fongoo kwa ajili yangu ulinyweshwa msalabanii (ee heee)
Ni ukweli si Uwongooh Kwa ajili yangu Usinzii Wala hulali (hey yeeh)
Yote uliofanya sijayasahau ni yathamani ihii (aah ayee)
Nimeyakusanya nayaleta kwako yawe shukurani ihii (aah ayee)
Yamebebwa na neno mojaaa..
Asante Bwanaa Mungu Wangu eeeh
Ninakushukuru Bwanaa Ninakushukuru Bwanaa
Asante Bwanaa Mungu Wangu eeeh
(eeeeeeeeeh)
Sijaonga chochote umenipa uzimaaa
Asante Bwanaa Mungu Wangu eeeh
Kile ulichoona Nikidogo kwangu nikikubwaaah
Asante Bwanaa Mungu Wangu eeeh
(eeeeeeeeeh Ndagha Kyala gwangu)
KIBO MELODYSAY