Only You ft. Mbosso Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Only You ft. Mbosso - Macvoice
...
Talalilaaa
(mocko)
Mbonaa Mimi sijui
Ninan nisijuiii
Umenipa Nini kidawaaa
Kila ninacho fanya ni sawaaa
Hakipandi chakula muda wa kulaa Yani mpaka unilishe
Usiku usingizi Sina mpaka ulale wewee
Una uzuri wa sura na hiyoo chura ufundi usizidishe
Wewe ni saizi yangu kina twaendana wewee
You be there for me my baby
I be there for you my baby
baby wewe ni wanguuu
ukicheka mashavu vishimo
Mtamu mpaka kisigino
wewe ndio mamy loooo
wewe ndio mamy loooo
Mapenzi hayana kipimo
Mimi na wewe hakitutoshi kipimo
Nishadondosha winoo
nishadondosha winoo
Only you
only you
only you
only you
only you
only you (ooooh)
only you (oooh)
only you (oooh)
only you ( only you)
Mungu anaumba
Mungu anachora
Mungu anayakatakata maumbo
Mungu anafumba
Mola kakujaza jaza nyamaa rundoo
sindomaa sikokoto
Ni vimacho vyako changalawe
Mwili homa nahisi arosto
Tuanze kula ndio tunawe
My chioma
My tototo
Ukinimwagia sandakarawe
Sodoma nauona Moto
Ukibinuka paranawe
Mwarubaini ni dawa ya tumbo
Usiichanganye na sukari (ooooh na sukari)
Nimebaini penzi ni fumbo
Si maanishi ni ya daftari
ukicheka mashavu vishimo
Mtamu mpaka kisigino
wewe ndio mamy loooo
ndio mamy loooo
Mapenzi hayana kipimo
Mimi na wewe hakitutoshi kipimo
Nishadondosha winoo
nishadondosha winoo
Only you
only you
only you
only you
only you
only you (ooooh)
only you (oooh)
only you (oooh)
only you ( only you)
only you (only you)
Aded by Prince wa kigoma
(Mocko genius)