Body Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2023
Lyrics
Body - Macvoice
...
Ivi niliachwa jamani,
ninaomba mnikumbushe, yaah
Mana huyu wa sasa, kafanya wa zamani nimtupe,
saizi presha sina,
stress sina,
wapi pana utulivu nije na shemeji yenu,
saizi presha sina,
stress sina,
wapi pana utulivu nije na shemeji yenu,
mana ananipatia ,mapenzi hisia
Nishajifia kwake sina maneno
baby wangu anabody,ana body,ana body
ana body,ana body , ana body ,ana body!
Geuka waone hilo body,hilo body,hilo body
hilo body chezesha body,hilo body hilo body
uhhhh baby wangu ni mpole,mtulivu hanaga neno na mtu ,iyee
baby wangu ni mpole,mtulivu hanaga neno na mtu ila akilewa
umlando!!
adiwele!!
jagermiester(ayayayayaaa)
umlando!!
adiwele!!
jagermiester(ayayaa) ila akilewa
umlando!!
adiwele!!
jagermiester(ayayaaah)
umlando!!
adiwele!!
jagermiester(ayayaaah)
Aniibie nani ooh nani
akati nina vigezo vyote vya kuwa na yeye
Amdangie nani ooh nani
Akati nina mihela yote ya kumuhonga yeye
look at you! at you,at you,at you
you are so beatiful ,my dear eeh
look at you! at you,at you,at you
you are so beatiful ,my dear eeh
baby wangu anabody,ana body,ana body
ana body,ana body , ana body ,ana body
Geuka waone hilo body,hilo body,hilo body
hilo body chezesha body,hilo body hilo body
uhhhh baby wangu ni mpole,mtulivu hanaga neno na mtu iyee
baby wangu ni mpole,mtulivu hanaga neno na mtu ila akilewa
umlando!!
adiwele!!
jagermiester!!(ayayayayaaa)
umlando!!
adiwele!!
jagermiester!!(ayayaa) ila akilewa
umlando!!
adiwele!!
jagermiester!!(ayayaaah)
umlando!!
adiwele!!
jagermiester!!(ayayaa)
WRITTEN BY :KANOBAT#