![Pombe ft. Leon Lee & Rayvanny](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/24/f1349bf853f14554b8baf2bddc248be2.jpg)
Pombe ft. Leon Lee & Rayvanny Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Pombe ft. Leon Lee & Rayvanny - Macvoice
...
Nataka pombe, nataka kulewa
Nataka pombe pombe, nataka kulewa
Eeh aiyoyoyo
(S2kizzy baby)
Eeh aiyeyeye
Aah aiyoyoyo
Eeh aiyeyeye
Kama, kama sitaki
Kama, kama sitaki
Nacheza kama, kama sitaki
Yaani kama ah ah kama sitaki
Wanoko washamba, nawacheka kwa dharau (kama sitaki)
Nishafuta namba wachawi wote nawasahau (kama sitaki)
Sinanga mawenge, siwajibu wakitoka (kama sitaki)
Sibishani na kenge, leta matusi nikublock (kama sitaki)
Nina-kunywa bia (kama sitaki)
Nina-kaba-mbia (kama sitaki)
Eh eh eh eh aiyoyoyo
Hio hio hio, aiyeyeye
Shuka shuka shuka, aiyoyoyo
Eh eh eh eh aiyeyeye
Nataka pombe, nataka kulewa
Nataka pombe pombe, nataka kulewa
Nataka pombe, nataka kulewa
Nataka pombe pombe, nataka kulewa
Oooh ooh, zungusha tena, aiyoyoyo
Leta tulewe, zungusha tena, aiyeyeye
Oooh ooh, zungusha tena, aiyoyoyo
Meza ipendeze, zungusha tena, aiyeyeye
Nakapa pombe kakishalewa ndo nakashika, (kama sitaki)
Napanda milima ghetto kileleni nafika, (kama sitaki)
Nina-kunywa bia, (kama sitaki)
Nina-kaba-mbia, (kama sitaki)
Oooh oooh oooh
Oooh oooh oooh
?
Nataka pombe, nataka kulewa
Nataka pombe pombe, nataka kulewa
Nataka pombe, nataka kulewa
Nataka pombe pombe, nataka kulewa
Oooh ooh, zungusha tena, aiyoyoyo
Leta tulewe, zungusha tena, aiyeyeye
Oooh ooh, zungusha tena, aiyoyoyo
Meza ipendeze, zungusha tena, aiyeyeye
(S2kizzy baby)
(Added by Fidelisbzm01)