![Nguvu Za Kiume](https://source.boomplaymusic.com/group2/M0B/33/3F/rBEeqF1KrpmAPvtCAACvlv88s7k946.jpg)
Nguvu Za Kiume Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2019
Lyrics
Hey Yoh!
Rosa Ree
Sitaki mazoea na mataka taka
Ndo maana mi huachana nao matha matha
Naona mwendo wenu umevuka mipaka
Wanaojikuta madume nawabaka baka(Aah)
Mnapenda majungu na sio ya upishi
Mking’ang’ana mimi nitatingisha dishi
Bwanako nammmh mpaka haamshi
So ata ukimpa gari hakukishi
Changa naimada gyal, me nuh fear dem
Kichaa cha maana naeza endesha mpaka marehem
Mnajifanya mko mbele niko nyuma yenu
Nitawafanya vibaya mbele ya wake zenu(Aah)
Nawakalisha na nimevaa sidiria
Sina nguvu za soda wala za beer
Za kiume(Sitaki kasongo)
Nguvu za kiume(Walemewa pembe hiyo)
Za kiume(Mvuvi la Bongo)
Nguvu za kiume(Aii yey yeey yeey)
Za kiume(Sitaki kasongo)
Nguvu za kiume(Walemewa pembe hiyo)
Za kiume(Mvuvi la Bongo)
Nguvu za kiume(Aii yey yeey yeey)
Tatizo nataka chambe kabla wajane
Mi nina haiba ya paka siwezi lea panya
Huh! Naeza katukana
Mguu kwenye brake, sitaki ongea sana
Heard you said you made me
What you talking about?
Make another Rosa Ree
What you talking about?
(Huh, what you talking about?)
Make another Rosa Ree
What you talking about?
Siendi gym na hunigusi
Na supu ya pweza hainiboosti
Nikikugusa hauinuki
Na huwa siogopi matusi
Nawakalisha na nimevaa sidiria
Sina nguvu za soda wala za beer
Za kiume(Sitaki kasongo)
Nguvu za kiume(Walemewa pembe hiyo)
Za kiume(Mvuvi la Bongo)
Nguvu za kiume(Aii yey yeey yeey)
Za kiume(Sitaki kasongo)
Nguvu za kiume(Walemewa pembe hiyo)
Za kiume(Mvuvi la Bongo)
Nguvu za kiume(Aii yey yeey yeey)
Nikika nawatii…(Sumba hiyo)
Nawatiririsha nyuma mbele(Sumba hiyo)
Kama kawa nawa…(Sumba hiyo)
Nawanya wapige kelele(Sumba hiyo)
Nikika nawatii…(Sumba hiyo)
Nawatiririsha nyuma mbele(Sumba hiyo)
Kama kawa nawa…(Sumba hiyo)
Nawanya wapige kelele(Sumba hiyo)
Nawakalisha na nimevaa sidiria(Sumba hiyo)
Sina nguvu za soda wala za bia
Za kiume(Sitaki kasongo)
Nguvu za kiume(Walemewa pembe hiyo)
Za kiume(Mvuvi la Bongo)
Nguvu za kiume(Aii yey yeey yeey)
Za kiume(Sitaki kasongo)
Nguvu za kiume(Walemewa pembe hiyo)
Za kiume(Mvuvi la Bongo)
Nguvu za kiume(Aii yey yeey yeey)
--- www.LRCgenerator.com ---