![Wanywe Pombe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/16/609d66e3a6c04fca85b5d34387605792.jpg)
Wanywe Pombe Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Wanywe Pombe - Rosa Ree
...
Waa, wanao wanywe pombee,(acha watu walewe)
Waa, wanao wanywe pombe. (wape pombe ntalipa mimi)
waa, wanao wanywe pombee.(Naweka heshima baa)
Waa, wanao wanywe pombee.
Leo kata chupaa , (eeeh)
Leo kata chupa ,(saiz yako!)
Leo kata chupa, (eeeh)
Leo kata chupa
Yeah! Situkiwa kwenye kiwanja hatuangalii budjet,
ukiagiza moja moja naagiza bucket,
waiter leta ngorongoro ama serengeti,
kama maisha ni safari niletee cret,
ukishalewa tembea kama unatege,
alafu jifanye kama unacheza rege,
ukiona dem mdanganye kama unandege,
afu akikupa nenda kamalize ngenye,.
ukipewa bia za bure usiziendee pupa,
maana utakuja kulewa ushikishwe ukuta,
na kama unastress nyingi we agiza chupa,
alafu aliyekuvunja moyo kamvunje mifupa,.
Waa, wanao wanywe pombee,( acha watu walewe)
waa, wanao wanywe pombee.(wape pombe ntalipa mimi)
waa, wanao wanywe pombee,(naeka heshima bar)
waa wanao wanywe pombee.
leo kata chupa, (eeeh)
Leo kata chupa, (saizi ako!)
leo kata chupa, (eeeh)
Leo kata chupa.
Yeah! mtu mzima nikira asara nashushia bapa,
uku kwetu kuna panya kamua paka,
kiufupi pilipili imewasha data,
wazee leteni maji kunamtu kawaka,
Natusha maliza bifu la pilau na gambe (kande! Gambe),
Tukitaka cha arusha natuma afande (fande afande).
Humundani tunakesha kama walinzi,
afu tumependeza T-shirt na jinzi,
Tunamambo meusi kama masizi,
Unaweza kuta kichaa anamcheka chizi,
Waa wanao wanywe pombee,(acha watu walewe)
waa wanao wanywe pombee.(wape pombe ntalipa mimi)
waa wanao wanywe pombee,(naeka heshima bar)
waa wanao wanywe pombee.
leo kata chupa,(eeeh)
leo kata chupa(saiz ako!)
Leo kata chupa(eeeh)
leo kata chupa.(ka john)
{Nikisha lewa, mistaki kuchezewa.
nakata maji kama mamba, leo lichaa amekata kamba.}× 2.