![Sukuma Ndinga Remix](https://source.boomplaymusic.com/group1/M1C/A7/B5/rBEehl6oUo-ALD4ZAAFqIFpOIq8668.jpg)
Sukuma Ndinga Remix Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Sukuma Ndinga Remix - Rosa Ree
...
sukuma ndinga×7
kama una feel kama unafeel unyama
(prrrrrra)
kama unafeel kamaunafeel unyama
move your shoulder sukumandinga move your shoulder sukuma ndinga
move your shoulder sukuma ndinga move your shoulder sukuma ndinga
sukuma ndinga ×8
ya na move my shoulder nasukuma ndinga na push benzi na ninabeba mix zakuvimba
na for my country nawakilisha nabeba ndoo kichwani napanda pipa
ya huwezi fananisha nao nonono mi international wao lokokoko
iwoke up in the noodle body ace for huwez nikuta kwenye starlet not dude
this is the life I work for and the thing got from the cash flow and haters come and talk shit and they laugh hard and am on the flow
I spit to make a living don't care what ur feeling when I make my duels at the door is where am heading
we ain't at the top of peak to show shit for bragging we make them big buts let them kick to supreme
kama unafeel kama unafeel unyama
(ppprrrrrrrrra)
kama unafeel kamaunafeel unyama
move your shoulder sukuma ndinga move your shoulder sukuma ndinga
move your shoulder sukuma ndinga
move your shoulder sukuma ndinga
sukuma ndinga ×8
VANNIBOI
yo na move my shoulder nasukuma ndinga
gal fulu wese ni nduki mbeya mafinga
mziki juu mwendo wa kuvimba sistaduu shoboka na ndinga upate mimba
gari nifulu denki nimeshatoka benki nikiwa kwafoleni wananiona 50cent
nami najiona keki nikinuna sicheki brother usilete waya sitaki kuboost betri
chombo ikofiti speed high haushiki don't try silazimishi haifai ukiomba lifti nakudai
siki kavaa kapeti sio zakupangaiza muulize dicksound akupatie mawaiza kuna ma airfresh kama ndinga la laizer sababu ya corona zipo mpaka sanitizer
kama unafeel kama unafeel unyama
(ppprrrrrrrrraa)
kama unafeel kama unafeel unyama
move your shoulder sukuma ndinga
move your shoulder sukuma ndinga
move your shoulder sukuma ndinga
move your shoulder sukuma ndinga
sukumandinga ×16
tongo records. ..