![Sifa Zitande](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/22/d544bdc571754a73b47409756dee2347_464_464.jpg)
Sifa Zitande Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Sifa Zitande - Evelyn Wanjiru
...
uhimidiwe bwana,Mungu wa Israeli
milele hata milele tulishukuru jina lako takatifu
tulifanyie sifa jina lako
chorus
sifa zitande, sifa zivume
jina lake yesu lisifiwe kote
mwimbieni bwana ,sifa za furaha
tulitukuze jina lake tukufu
lililotukuka kuliko majina yote
tangazeni matendo yake ya ajabu
chorus
chorus 2
sifa zote zitande baba yetu Baba Yee zikufikie
sifa zote eh, sifa zote eh, zitande zitande