Waweza Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2012
Lyrics
Waweza - Evelyn Wanjiru
...
Waweza, waweza, waweza Mokozi
waweza mambo yote, wewe mwaminifu
bwana Mungu wangu, umenikomboa eh
umeniwezesha mimi, wewe ni mkuu
ukaniita kwa jina langu eh, ukaniwezesha
Nikuabudu Bwana, nikuimbiye
nilipokuwa kwenye dhambi, ukanionyesha mwanga mwanga, wewe ni mwanga wangu Bwana, wewe ni mkuu
(chorus)
Waweza waweza, waweza Mokozi
waweza Mambo yote, wewe mwaminifu
waweza waweza, waweza Mokozi
waweza Mambo yote, wewe mwaminifu
Bwana Mungu wangu we,
wewe ulimsaidia Ayubu,
ulimuokoa na shida nyingi,
Bwana ulikuwa Nate
Neno lako linasema, neema zake zote nizako Bwana, wewe nimuweza
(chorus)
Waweza waweza, waweza Mokozi
waweza Mambo yote, wewe mwaminifu
waweza waweza, waweza Mokozi
waweza Mambo yote, wewe mwaminifu
Wakati ninazo shida, na magonjwa
Bwana unasema, niliite jina lako
nawe ndiye muweza, wewe ndiye mwenye nguvu, wewe ni kimbilio baba waweza mambo yote....
Waweza waweza, waweza Mokozi
waweza mambo yote, wewe mwaminifu
waweza waweza, waweza Mokozi,
waweza mambo yote, wewe mwaminifu
waweza waweza, waweza Mokozi
waweza mambo yote, wewe mwaminifu
(Baba) unaweza, unaweza, unaweza..baba unaweza ewe ewe
unaweza unaweza unaweza..baba unaweza..
unaweza unaweza unaweza..baba unaweza..
unaweza unaweza unaweza..baba unaweza..
unaweza unaweza unaweza..baba unaweza.........
unaweza unaweza unaweza
hallelujah, hallelujah....