Sitaogopa (Live) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Sitaogopa (Live) - Evelyn Wanjiru
...
Bwana wafurahisha moyo wangu
Nina sababu ya kuimba ah
pumzi umenipa
furaha ukanipa
dhambi zangu ukaondoa ah ah*2
BRIDGE
ndio maana nasema
yesu amenibariki
yesu ameniinua
nikiwa naye moyoni.....sitaogopa kamwe*2
CHORUS
hehehe sitaogopa kamwe*4
bridge*2
chorus*4
VERSE 2
Bwana ni taa ya miguu yangu
Mwanga wa njia yangu ooh
Anilindaye hasinzii Wala halali
Yu pamoja naami
wewe ni mwaminifu
wakati wote
bridge*2
chorus*4
bridge*2
chorus *4
when God is by my side
I don't have to be stressed
I don't have to be troubled*2