Asante Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Asante - Evelyn Wanjiru
...
Asante Yesu, Asante Yesu
Asante Yesu, Asante Yesu
Kwa wema wako, kwa wema wako
Kwa wema wako, kwa wema wako
Pokea sifa, pokea sifa
Pokea sifa, pokea sifa
Ninakupenda, ninakupenda
Ninakupenda, ninakupenda
Kwa wema wako, kwa wema wako
Kwa wema wako, kwa wema wako
Pokea sifa, pokea sifa
Pokea sifa, pokea sifa
Tazama yale Mungu ametenda
Ametimiza ahadi yake ndani yangu
Na sasa mimi nashuhudia
Ya kwamba Mungu wangu mwaminifu
Ya kwamba Mungu wangu anajibu
Ya kwamba Mungu wangu anaweza
Asante Yesu, Asante Yesu
Asante Yesu, Asante Yesu
Ninakupenda, ninakupenda
Ninakupenda, ninakupenda
Mwaminifu, mwaminifu
Mwaminifu, mwaminifu
Uombalo utapewa
Utafutalo utaona
Sikio lake si zito
Kusikia ombi lako
Furahia ndani ya Yesu
Mpe ibadi yako
Mwaminifu, mwaminifu
Mwaminifu, mwaminifu
Asante Yesu, Asante Yesu
Asante Yesu, Asante Yesu