![Umenifaa](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/30/D2/rBEeMlkkOJKAIkhTAACnHasw2jw329.jpg)
Umenifaa Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2016
Lyrics
Umenifaa - Eve Bahati
...
haaeee yeah Heeee
Wanda's wanifaa
ulinifia msalabani Yesu unanifaa
ulimwaga damu yako mi nipone unanifaa
ulishuka kuzimu eeeh
ukamnyanganya shetani funguo eeeeh
ulisema yamekwisha aaah
neno la bwana linasema tafuteni Mungu
nayo mengine Jamani mtazidishiwa
neno la bwana linasema tafuteni Mungu
nayo mengine Jamani mtazidishiwa
unanifaa(unanifaa ebeneza) unanifaa (unanifaa Adonai) unanifaa
unanifaa mfalme unanifaa unanifaa baba
unanifaa unanifaa jireeh unanifaa
unanifaa unanifaa unanifaa baba Yangu Yesu unanifaa unanifaa Siku zote
Amina Amina Amina Amina nawambia
mtu hawezi kufika kwake ila kwa njia yake
Yesu maana Yesu njia ya uzima
Amina Amina Amina nawambia mtu hawezi kufika kwake ila kwa njia yake Yesu maana Yesu njia ya uzima
neno la bwana linasema tafuteni Mungu
nahayo mengine Jamani mtazidishiwa
neno la bwana linasema tafuteni Mungu
nahayo mengine Jamani mtazidishiwa
unanfaa unanifaa unanifaa Yesu unanifaa unanifaa maishani unanifaa unanifaa unanifaa unanifaa Yesu unanifaa unanifaa
Mimi unanifaa maishani unanifaa
neno la bwana linasema tafuteni Mungu nahayo mengine Jamani mtazidishiwa neno la bwana linasema tafuteni Mungu nahayo mengine Jamani mtazidishiwa unanifaa unanifaa unanifaa yehova uninafaa unanifaa baba unanifaa unanifaa yesuu unanifaa unanifaa unanifaa unanifaa unanifaa Siku zote wanifaa unanifaa unanifaa unanifaa wanipa
mulumgu wangu wanifaa nagoo nipale
uniyeke keduko nizanipale nizanipakooohhh