Waniangazia Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2019
Lyrics
Waniangazia - Eve Bahati
...
Huuuuuhuuuu
Ahhaaaahaaa
Yesu mwana wangu
Waniangazia
Gizani taabani wee Waniangazia
Yesu mwanga wangu
Waniangazia
Gizani taabani wee Waniangazia
Nani eee atakayelinda mji
Nani eee heee Hee!
Akeshaye anafanya kazi bure
Akeshaye anafanya kazi Bure bila Yesu oh
Maana yeye ni muweza yote
Ulifanya haya yote kwa utukufu wako
Kwa Neema yeye yeeiyeye (Neema yeyee)
Kwa upendo upendo(upendo yeiyee)
Hey kwa Neema yeiyee(Neema yeiyee)
Houu kwa upendo (upendo eeee)
Yesu mwanga wangu
Waniangazia (Waniangazia Yesu wee)
Waniangazia (Waniangazia Yesu )
Gizani taabani wee Waniangazia
Yesu
Yesu mwanga wangu (Yesu)
Yesu mwanga wangu
Waniangazia (Waniangazia Yesu wee )
Waniangazia (Waniangazia Yesu)
Gizani taabani wee Waniangazia (Waniangazia Yesu)
Gizani taabani wee Waniangazia
=========
Yesu wee eeeeh
Bwana haaaahaaaa
Danieli tunduni mwa simba
Ulifunga midomo ya simba hakuliwa
Meshaki, Shadraki, Adednego katika moto ulikuwa nao
Ayahyahah
Waisrael jangwani ulikuwa nao
Uliwalisha, uliwavisha Uliwaongoza baba
Ulifanya haya yote kwa utukufu wako
Kwa Neema yeeiyeye (Neema yee)
Kwa upendo upendo (upendo yeee)
Heeii Kwa neema yeyeee(Neema yee)
Hou kwa Upendo (upendo)
Yesu
Yesu mwanga wangu
Yesu
Yesu mwanga wangu Waniangazia (Waniangazia Yesu wee)
Waniangazia (Waniangazia Yesu)
Gizani taa bani wee Waniangazia
(Waniangazia Yesu wee)
Gizani ni taa bani wee Waniangazia
Waniangazia
Yesu
Yesu mwanga wangu(Yesu)
Yesu mwanga wangu Waniangazia (Waniangazia Yesu wee)
Waniangazia (Waniangazia Yesu)
Gizani ni taa bani we Waniangazia (Waniangazia Yesu)
Gizani taabani wee Waniangazia
Yesu we Waniangazia
Waniangazia mfalme
Heeeeee
Ohohhh
iiiiee hooo h
Waniangazia
*