Nguvu Ya Msalaba Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Nguvu Ya Msalaba - Eve Bahati
...
Damu ya Yesu ina nguvu sana
Nasema
Damu ya Yesu ina nguvu sana
Inayonena zaidi ya damu ya Abeli
Inayonena zaidi ya damu ya Abeli
Damu hii inaaa(inasafisha)
Damu hii inaaa(inatakasa)
Damu hii inaaa(inadumisha)
Damu hii inaaa(inahuisha nafsi hee!)
Nguvu ya Msalaba
(Imeniweka huru)
Nguvu ya msalaba
(imenishindania-imenishindania mimi hee!)
Nguvu ya msalaba
(imekuwa nguzo kwangu)
Nguvu ya msalaba
(imeniponya - imeniponya mwili wangu!)
Nguvu ya msalaba
heee! (Imenikomboa-imenikomboaa nguvu ya msalaba)
Nguvu ya msalaba
(Hoooo imenitetea - imenitetea! hoo! )
Yule mama aliyetokwa na damu
Miaka kumi na miwili
Yule mama, pale kisimani
Barthimayo naye
Macho yake
Sara naye
Na utasa wake
Yule mama aliyetokwa na damu
Miaka kumi na miwili
Yule mama, pale kisimani
Barthimayo naye
Macho yake
Sara naye
Na utasa wake
Damu hiii inaa(inasuluhu)
Damu hii inaa(inatosheleza)
Damu hiii inaa(inafungua)
Damu hii inaa(inafariji)
Damu hii inaa(inahuisha nafsi hee!)
Nguvu ya msalaba
(Imenitetea nguvu hee!
)
Nguvu ya msalaba
(Imenifungulia njia hee!
)
Nguvu ya msalaba
(Oooh nguvu ya msalaba imenipigania vita vikali
)
Nguvu ya msalaba
(Kwa mahali nime fika Bwana ni Neema yako
Bwana Yesu
)
Nguvu ya msalaba
(Nguvu ya msalaba imeniinua Imenitetea mimi hee!
)
Nguvu ya msalaba
(Hooo naipenda nguvu ya msalaba hii eee!
)
Nguvu ya msalaba
(Hooo! Nakuhitaji Yesu heee!
)
Nguvu ya msalaba
(hoooo!)
***---Imeisha - - - ***