![Sitasahau](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/30/D1/rBEeMVkkNuOARNkWAACmj14fqGo311.jpg)
Sitasahau Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2017
Lyrics
Sitasahau - Eve Bahati
...
ohhh yeah yeah yeah ohhh ohh yeah yeah yeah Yesu eeeeh
mtetezi wangu jemedari wangu wewe heeeeheeh ni weee maji ya uzima mkate wa uzima ni Wewe heeeh ni weeee
kwa damu yako kanikomboa ukanifanya huru (ni Wewe) kwa damu yako kanitakasa Sasa nakuabudu (ni Wewe)
Yale umenitendea sitasahau sitasahau
Yale umewatendea wasisahau (wasisahau) wasisahau
huuuu yeah usisahau alikokutoa eeeeh
nilikuahidi baba Mmmmh Mmh
ukinitendea Mimi nitatoa ushuhuda kwa watu Wako
maana ni Wewe ninayependa sitaki mwingine ila Wewe tu
ni Wewe ninayependa sitaki mwingine ila Wewe tu