TETANUS Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
TETANUS - NDOVU KUU
...
verse 1
eei, si tuko mboka (mboka)
ndovu kuu kwa screen hamwezi ni toka(toka)
nina dem kisii anaitwa kwamboka( mboka)
so my ex can see vile nimeomoka (moka)
alafu naskia kuna vile pamela aliokoka(koka)
Anachai kwa church, kuwachezea poker( poker )
ushaiona cocktail ya panya na nyoka(nyoka)
utachoka, walitry kutudin hivo ndo tulidhoka
ogopa, chali yako ako CRB na unaringa
aki walai we ni mjinga
bishana na ndovu kupinky buda mi hupinky
huwezi nipinga.
Msupa ni dinga, nyuma nilipata mzinga
* App si mi nilimkaribisha huyu mmera na hathi ka kalasinga*
chorus
pigwa tetanus, ati umekatwa, dawa ya wembe ni moja tetanus.
vile wanawashwa mdomo ni mingi dungwa tetanus
hope walitry kututest ,walijua hawawezi mess with us
(ssshhhh) tulia nikupange, pigwa tetanus
ati umekatwa, dawa ya wembe ni
moja tetanus.
vile wanawashwa mdomo ni mingi dungwa tetanus
hope walitry kututest ,walijua hawawezi mess with us
(ssshhhh) tulia nikupange, pigwa
(verse 2 )
Hey, KiKi sikupei, itabidi ujitegemee
hauwezi fika bei ,baas tuliza meheme
kuwaosha everyday ,hamjawai tulemea
ushindi tunashindiliii
hey unashinda nijea, tunasonga mbele wamekula chair
wapige kelele, buh we never care
mziki ni talent siwezi potea
ndovu is here mtaniskia, niko hapa na pale siwezi ishia
wananipenda, huskii wakicheer
ndovu ni kuu mia kwa mia
(chorus)
pigwa tetanus, ati umekatwa dawa ya wembe ni moja tetanus.
vile wanawashwa mdomo ni mingi dungwa tetanus
hope walitry kututest ,walijua hawawezi mess with us
(ssshhhh) tulia nikupange,
pigwa tetanus, ati umekatwa dawa ya wembe ni moja tetanus.
vile wanawashwa mdomo ni mingi dungwa tetanus
hope walitry kututest ,walijua hawawezi mess with us
(ssshhhh) tulia nikupange, pigwa...
(outro)
mboka (mboka)
hamuwezi nitoka (toka)
anaitwa kwamboka
vile nimeomoka
alafu naskia kuna vile pamela aliokoka
aah aah aah aki walai washatujua
aah aah aah basi weka mkono juu
aaah ah ah yes you!
ndovu bado ni kuu!
follow ishmaelbuzz