
Khadija Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Khadija - NDOVU KUU
...
Unani..Unani...Eh,
Unanifanya Niskie Kunyongwa,
Khadija Ayy,
Na ni Especially Ukisonga,
Na na na na na na na nimeshashindwa kubonga,
Sweetie walae,
Ukienda mbali I miss you stronger,(You're My Lady)
Dim the lights panda juu (meremeta star)
Nitavunjika mguu (nikikupanda)
Star struck you're my muse (twinkle little star)
Wonder what you are,
The way you whine girl you're waist gives me goosebumps oooohh,
Spiritual things what you do,
Vitu unafanya unaniweaken juju ni voodoo,
Oooh can you be my somebody,
Shoulder to lean on hadi,
Yesu arudi kiama ushafanya uamuzii ama?
Eh basi
Saka,Saka,sakata rumba,
Saka Saka Sakata Rumba
Saka Saka Sakata Rumba Saka..(na ni especially uki) ×2
Ah ah ati Una kakitu kuniliko,
Si uniharibu nipeleke Puerto Rico,
Soy un elephante que quiere tu cuerpo,(I'm an elephant who wants your body)
Trompeta tocando melodi'as En tu cuerpo
(my trumpet playing melodies in your body)
Aki walaaaaaee Najua kile nasema,
Naskia unakuwaga na mwenyewe mi stasema,
Naukiniagizia nipewe si nitadema,
After nimalizane nawewe siutahema, ah,
Unani,Khadija Ayy,
Unanifanya niskie kunyongwa,
Na na na na na na na nimeshashindwa kubonga,
Sweetie walae,
Ukienda mbali I miss you stronger,(You're My Lady)