Madem Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
Madem - NDOVU KUU
...
siwezi kosa ni madem
sipendi huyo chali hanagaa dem
girls you have to say we love you
siwezi kosa ni madem
siwezi kuja party haina madem
sausage party ni za ovyoo
mi napenda madem bila shame
wote wote aladem
kwa DM
hapo ndipo huniita shem shem
kuna peng wanajua tu kuleng
kuna peng uptown anajua tu kutweng
na wa kanairo tu ni mashengsheng
kuña wale wa koinange wanapenda shilling
kuna working class wale proper DM
hadi wamama wamejaa kwa DM
boy wa Kabete najifeel niko seti
mi huroll na mashete
ndio nijue niko seti