Nimeachika ft. Rolex Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Nimeachika ft. Rolex - Amber Lulu
...
Ukijifanya unapendaga kweli mapenzi ya Bongo yatakushida
Nilianza kupendwaga mie wachawi wakaja wakaniloga
Mara kuposti mapicha nijitanue status Insta kote wanijue
Haka kamoyo kadogo nusu nijiue
(Aii Jamani tumwombee dua tu)
Haya mapenzi jamani ufala
Nimerudi kuwa bachelor
Nipokee wanangu masela
(Heeeh tunakuombea dua tu)
Shemeji yenu kwanza anakera
Bora nirudi kutafuta hela
Nilikuwa nimefungwa jela, (Motherfucker)
(Heeeh tunakuombea dua tu) ok Nimeachika
Nimeachika
Nimeachika jama
Niacheni nilewe
Nimeachika (uuh)
Nimeachika (mama)
Nimeachika tena
Acheni nilewe
Nimeachika bwana
Nimeachika tena
Nimeachika jama
Acheni nilewe
Nimeachika bwana
Nimeachika tena
Nimeachika jama
(Utaambia nini watu wewe)
Nimejaribu kutakasa moyo
Wewe mwenzangu ukaniona poyoyo
Hayo mapenzi ya kulamba na unyayo
Aku siyawezi
Usinihifadhi mateso ya moyo
Michepuko ninayo kibao
Usidhani nitapiga miayo
Wala huniumizi
Eti nishindwe kula mimi
Sababu ya mapenzi
Kuonekana boya hayo mambo sitaki
Acha niende zangu mimi
Mtu mwenyewe hupendeki
Nishajishusha sana lakini huridhiki
Moyo wetu uliokatwa tushangilie
Haya mapenzi ni noma mie
Haya sasa tutambe sie
Tutakesha ka mapopo
Hili goma la kwetu sie
Leta vitu tukandamize
Bili zote nalipa mie
Aiii bado tupo mpaka kesho
Nimeachika jama
Nimeachika tena
Nimeachika jama
Niacheni nilewe
Nimeachika jama
Nimeachika tena
Nimeachika bwana
Niacheni nilewe
Nimeachika jama
Nimeachika tena
Nimeachika jama
Utaambia nini watu wewe
Hili goma la kwetu sie
Leta vitu tukandamize
Bili zote nalipa mie
Aiii bado tupo mpaka kesho
(Added by Fidelisbzm01)