![Halichachi ft. Kayumba](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/04/db792331a98c496e9a0a1ef1f0038b2e_464_464.jpg)
Halichachi ft. Kayumba Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2022
Lyrics
Halichachi ft. Kayumba - Amber Lulu
...
utaskia mi muhuni
ety nakurubuni
utaskia mi neno kedekede
mabaya ndo wanayapigiaga debe
ety sikufai wana wivu hao oooh
utaskia mineno kedekede mabaya ndo wanayapigiaga debe baby..
mm si wakwanza duniani kupenda aah
mayo hulazimishwi fulani kumpenda aah
twende mwezini aeeh
dunia ina watu majini aeh aeeh
tule yamini minawe hadi tuzikwe Chini aaeh aeeh
twende mwezini iih
dunia inawatu majini aeeh aaeh
tule yamini minawe hadi tuzikwe chini
kayumba;
penzi letu nila motomoto (halichachi)
likipoa twalipasha joto (halichachi)
mi na yeye (halichachi)
tushakemea mapepe (halichachi)
amberlulu;
aiyoyo baba (halichachi)
likipoa twalipasha joto (halichachi)
mi na wewe (halichachi)
tushakemea mapepe (halichachi)
kayumba;
sitatema pigiji kwa karanga zakuonjeshwa
macho yote kwako pengine sito pepesa eeh
huba ulilonionyesha lenye sumu kali mwanzo limenitepesha mmh
sifa ninakupa po mnong'Ono
mapenzi shule naww umehitimu somo
nipe jumba niboe bomo
akili ziwe fyatu wanisomee kisumu
ile Prrrr mpk makka
niwe nyakanyaka
tamu ya sakata
na sotojo la bata
haamm nang'ata
mwendo wa kunyata
jini kisirani ila kiti umempata
amberlulu;
twende mwezini aeeh
dunia ina watu majini aeeh aeeh
tule yamini aaaeeh
mi nawe hadi tuzikwe chini aaeh aeeh
twende mwezini iih
dunia ina watu majini aeeh aeeh
tule yamini aaeh
minawe hadi tuzikwe chini aaeh
kayumba;
penzi letu ni la motomoto (halichachi)
likipoa twalipasha joto (halichachi)
mi na yeye (halichachi)
tushakemea mapepe (halichachi)
amberlulu;
aiyoyo baba (halichachi)
likipoa twalipasha joto(halichachi)
mi naww (halichachi)
tushakemea mapepe (halichachi)