![Jini Kisirani](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/68/B2/rBEeMVpsR-iAYkeKAADpFe2Psr4120.jpg)
Jini Kisirani Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Jini Kisirani - Amber Lulu
...
Kama upepo pepea, kunipata mimi shoga wee!
Na kama bifu nimebobea, hata uende kuroga wee!
Na maneno unaongea, kumbe una nguvu za soda eeh
Kazi kunisema kwa watu, ukiniona unazuga eeh
Kugombana na mimi bado
Naona kama unanuka kwapa bado
Facebook, twitter huzijui bado
Hata insta live huijui bado
Unapenda jinadi, kujikuta unajua kumbe mambo bado
Achana nami, mwenzio long time mpaka leo gado ..oooh!!
Chorus
Jini kisirani, we ni jini kisirani
Jini kisirani, we ni jini kisiran
Wakikugusaaa, Yanakupandaa +2
Wakikuchokonoa, yanakupanda+2