![SHUKRANI](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/18/0b3454b55dac4806a00cc4f266225b2f_464_464.jpg)
SHUKRANI Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
SHUKRANI - PAUL CLEMENT
...
mimi ni yule mmoja Kati ya wale kuni
ulowaponya ukoma kwako nimerudi
wale tisa sijui ila mimi nimekuja kusema asante
najiulza nikulipe nini kwa yote ulionitendea mimi
baba nimengi siwezi lipa hata kwa senti
natafuta namna nzur ya kukushukuru nikakosa natafuta maneno mazur ya kukushukuru nikakakosa eeh baba
nikulipe nini X2
ulionitendea ni mengi siwezi kuhesabu ila nina neno moja asante X2
ulionitendea ni mengi siwezi kuhesabu ila nina neno moja asante X4
nacho juaga huwa unaongezaga kama ukimpa mtu kitu alafu akakushukuru nacho juaga huwa unaongezaga zaidi (zaidi) sikushukuru tu kwa haya ulotenda ila hata kwa yale hujayatenda huku Nikiamini shukurani ni sauti ya imani
fedha( haitoshi kukushukuru)
dhahabu(haitoshi kukushukuru eeh baba
nikulipe nini X2 ulionitendea............. X2
shukuraniiiii(shukuraniiiii) imebebwa(imebebwa) kwenyeee neno moja asante X4