
Unaibiwa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Unaibiwa - Rayvanny
...
(Ayolaizer)
usidate na njonjo za mapenzi bandia
usoni kudeka kumbe ana-pretend
maufundi toka tanga na zenji vionjo
mitego unase ashike pochi umwage
chenji
anakuchanganya kiunoni Shanga
marashi kama uko peponi
mtoto sauti kinanda ya kumtoa
chatu pangoni
ukishatafuna karanga hutaki hata
aende sokoni
anakuchuna mafaranga unabaki na
vumbi mfukoni
ukiwa na pesa utasifiwa kitambi
(baby me I like dat)
na kukupamba kwenye simu
(video snap chat)
kumbe hana mana Hadi mangi
(anamwita sweet heart)
kisa anakesha gym kutafuta
(six pack)
unaibiwa
unaibiwa
unaibiwa
unaibiwa
( instrumental )
kunakina-rose visosa wale wapenda
verosa
ukipita na shati na moka lazima
watashoboka
wakiomba lift ogopa migudash gudi
vishoka
mchunguze cheni goroka nywele na
pochi kakopa
eeeh
usije kuyavamia yasije yakakutesa
hawachelewagi kukimbia
kunawenzako wanalia walizani
mapenzi pesa kwenye suruali vibamia
hata ukimuhonga ferali tatokuona lijali
wakati chumbani we beki ukifunga
moja tu chali
statekwa na mangangali vijana
machachali hachagui sehemu ya vita
uvunguni na juu ya dali
ukiwa na pesa utasifiwa kitambi
(baby me I like dat)
na kukupamba kwenye simu
(video snap chat)
kumbe hana mana hadi mangi
(anamwita sweet heart)
kisa anakesha gym kutafuta
(six pac)
unaibiwa
unaibiwa
unaibiwa
unaibiwa
unadhani ni wa peke yako Kimbe
wengine wameshaweka kambi
kakupendea macho wapo wengine
kawapendea rangi
ye ni gari la dampo hachagui taka
dereva mpe ganji
wakubadili sample akila mihogo
karoti hazioandi
unaibiwa
unaibiwa
unaibiwa
unaibiwa
wasafi records