
Fundi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Fundi - Rayvanny
...
Rayvany - Fundi lyrics
Hata wajiweke filter
uzuri wa sura yako hawatafika ooh
Mama umekamilika oh
Wasiokupenda ona wanakunja ndita
Na unajua kupika
Nikishakula natamani kukulipa
Hakuna kitu ananificha
Sa katongozeni nije kuwaaibisha
Mungu kakupendelea
Ndo maana unalinga
Geuka shape Inabembea
Ndio maana unavimba
Na hizo dimpo ukinichekea
Nyusi umezitinda
Nipe nitakupelekea
Wiki tu una mimba
Aaaaah
Nikitoka Lokongoni nishuke uvinza aah aah
Ukinipa Kinondoni nikuombe Sinza aaah aaah
Hivi cassava kaimenyamenya eeh e
Akibana inapenyapenya eeh eh
Manzi wa Kanairo Kenya Kenya eeh eh
Kwenye giza nimekatekenya
Mtoto fundi, fundi aaah
fundi eeh
Anayajua mambo
mtoto fundi aaah
fundi weih
fundi aaah anayajua mambo
Mtoto fundi wee, fundi aaah fundi eeeh
Anayajua mambo
mtoto fundi aaah, fundi we fundi aaah
Anayajua aah
Uno la kidigo, sura ya kimasai
Shape ka kinyaki alafu nywele Dubai
Meno ya kichaga, Oldonyo Lengai
Haikatoksi, haikatai
maaa sweet nyonya hiyo ka pipi
ukiikalia Kwa kitu, presha hiyo ni bp
Mungu kakupendelea
Ndo maana unalinga
Geuka shape Inabembea
Ndo maana unavimba
Na hizo dimpo ukinichekea
Nyusi umezitinda
Nipe nitakupelekea
Wiki tu una mimba
Aaah nikitoka Lokongoni nishuke uvinza aah aah
Ukinipa Kinondoni nikuombe Sinza aaah aaah
Hivi cassava kaimenyamenya ee eeh
Akibana inapenyapenya eeh eeh
Manzi wa Kanairo Kenya Kenya eeh eeh
Kwenye giza nimekatekenya
Mtoto fundi
fundi aaah fundi eeeh
Anayajua mambo
mtoto fundi aaah fundi eeeh fundi aaah
Anayajua mambo
Mtoto fundi wee, fundi aaah fundi eeeh
Anayajua mambo
mtoto fundi aaah fundi eeeh fundi aaah
Anayajua aaah