![Halafu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/10/16cfbcc52ddd4d5bb76899dc67f29375.jpg)
Halafu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Halafu - Jay Melody
...
Yeah!
Ona!
Yeah! Oonaa!
Eti Unataka nn? Eeh
Ivo Unaambiwa Mimi Eeeh! Kimata Kama Jini Eeeh!
YaaN Moto Auzimi Weeh!
Uku Nyuma Nlipata Varangati!
NI Mateke kama Sensia
Siku izi Napikiwa Karimati! EX Zako Kuumia ee
HALAAFU! HALAAFU!
Ananipaga Nyama Yaan Ndafu!
HALAAFU! HALAAFU!
Inakuwaga Chips KavuKavu
HALAAF HALAAFU HALAAFU!!
Inakuwaga Bata YaaN Chafu (Bataaa!!)
Ooooh! Ooh! Lalalaa!!
Mbona kama Nampenda
Ukikatamani Utatoka Denda Wee!
Kwenda Kama Unakwenda
Nlkupa Moyo Wee Ukautenda
Liiiiiii!!! Lalila lilaaah!!!
Luuuuuu Talila Lila!!!
Umekuaje Lalilalila!
Na sikupendi Lalilalila!!! Na Umebaki
Lalilalila
Luuuu
HALAAFU! HALAAFU!
Ananipaga Nyama Yaan Ndafu!
HALAAFU! HALAAFU!
Inakuwaga Chips KavuKavu
HALAAF HALAAFU HALAAFU!!
Inakuwaga Bata YaaN Chafu (Bataaa!!)
Bataaaaaaaaaaaaaaaa!!
(Music!!)
#Writer :: Mr logic| Mkumbege
+255 711426513