
Najieka Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Najieka - Jay Melody
...
ona sasa unapitwa moyo wangu unapitwa halafu tikatika tikatika Rice labonita labonita i feel like tupo kwetu tumeumana na niko peku sielewi chochote nikofyetu yaan nifyetu fyetu ningekuwa
Jullie ningeimba Jullieta ningekuwa pombe ningepiga tarumbeta kwa jinsi nampenda mimi kwake Najieka aaah×2
ooooh ooooh oooooh oooooh najieka mimi najieka
kwanza mtoto nikoradhi nimkatie bima
mana vitu vyake motomoto anavyotikisa mzizima jaamasherehe sherehee kuna pere peeeree anavyochambuka chambuka weeeh kama mchele cheeelee
Nengekuwa Dully ningeimba dullieta angekuwa pombe ningepiga tarumbeta kwajinsi nampenda mimi kwake najieka aaaah najieka×2
ooooooh ooooh ooooh oooh oooh najieka mimi najieka aaah
kamie kapata ushukhi nipo pale kata nantaka ntupu halafu kubwa zima naogopa mdudu asa mambo gani mbona mwenzio mzungu×2
ooooh ooooh ooooo oooh oooh najieka mimi najieka×2.