Watu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Watu - Jay Melody
...
......Jimmy x66 uyaaaaah
kama ni mapenzi yaniuwe basi yaniuwe humzigo basi unituwe,
kama Siyajui nipeleke shule baby!!kwingine sioni penzi lako lanipa upofuuwe,
kwa mikono yako nichukuwe kwenye makorongo usinituwe,
babyy me nishajigamba saana kama Sela gwajitaa
we ndo changu kipenzii nishawaambia we ndo changu kipenzii,
saa usijekunichanganya mwenzako nitakwishaa
si ushajua siwezi bila ya penzi lako mimi siwezi
"Mimi mimiii..watu mmh
nitawaambia nini watu ×3
Mimi mimiii..watu mmh
nitawaambia nini watu × 3
Mimi mimiii........................."
HUU LA LAAH
Bila wee me nitakosa uhai,bila weee life halitanoga
ni raha tupu vile unanitosha utaniambia nini kuhusu mapenziii....
kwako nimegota nikikuonaga kaah nimeona nyota
kwa penzi lako chozi lan dondokaa mwenzioo usiniweke
roho juu .
Me nishajigamba saana kama Sela gwajita we ndo changu kipenzi nishawaambia we ndo changu kipenzii...
saa usijekunichanganya mwenzako nitakwishaa
si ushajua siwezi bila ya penzi lako mimi siwezi
"Mimi mimii..watu mmh
nitawaambia nini watu × 3
Mimi mimiii..watu mmh
nitawaambia nini watu × 3
Mimi mimii..........................."