
Forever Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Forever - Jay Melody
...
gin x66
Jay once again
sweetie
umenikata mbawa sipai
i never seen before
waniache nijidai mmmh
sweetie
nimesizi niko high
penz lako tamu hivo
linanilewesha ka divai
wananisema nakula najilamba
et ndo ushamba sio mapenz
aaah ndio mapenzi lingekua chungwa
ningelimenya kama chenza
walisema hayawi yamekua
mimi na ww ndo forever
haya forever
forever
forever
ndo forever
forever
forever
forever
ndo forever
instrument
verse 2
nimegundua mapenz mua
yanaraha yake tu ukiyajua
akibandika akibandua tu
chakula chake ndo nakipakua
ndo nimeshazama
ndo nimeshakwama
kama penzi lingekua chungwa XD ningelimenya kama chenza
walisema hayawi yamekua
mimi na ww ndo forever
haya
forever
forever
forever
ndo forever
forever
forever
forever
ndo forever
mmmhh aah
oooh nana nana