Maliar ft. Naiboi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Maliar ft. Naiboi - Kristoff
...
una bibii nyumbani na bado unataka kutesa,we wacha umalair,wacha umaliar,skia unaniithisha fare na unakosa kukam unathani ni fair?acha umaliar,aki walai,wacha umalair,zao ni ma car hire,zao ni kukopa hawananga hata haya ,saa ya kurudisha wote wameretire,hao ni Madingo wanaweza eka tyre,hao ni ma-maliar
nikiwa mkid nilikua nasimamia viti,ndowatu wazima wakae,
na siku watoto wanapanda miti ,utadhani wangari maathai,mafinje mapay, business daily,wanafungua......
......walipe madeni,hao ni wa maliar, you are lying,maliar,stop nagging
kazi ni kukula Tu,kazi ni kunyamba Tu,hamnanga hata kakitu,stop lying.