Candy Bar ft. Bwanangoma Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Candy Bar ft. Bwanangoma - Kristoff
...
verse 1
yule muluya wabubu
nasema hahaha
verse imeanza vinoma n hahaha
wakileta beef inabaki wametapakaa
atakaa wanatupaa buti na magolova
mi niko n kabunde (gava mbio kama chokora)
ona saa beat ikibounce vile inanibambamaa
niko n mitungi n mangaji n mangajamaa
vadama mtoto anainamisha mbaka kwnyi bar
niko n kakitu inaniwasha nikisiiiiii
ona saa verse n six so the way tu agha khan
kila izo ma pain mara moja kama better than
better than that one badder redson ulopa kwnye beat n n tama kama candy bar
chorus
oook tamu kama candy bar
oook tamu kama candy bar
oook tamu kama candy bar
cheza ulopa n ningoje na candy bar
oook tamu kama candy bar
oook tamu kama candy bar
oook tamu kama candy bar
cheza ulopa n ningoje na candy bar
verse 2
baby uko lyrically fit kaa io skirt umevaa
ambia kam n piece kama beat kapuka
beat ilo kwa dna itabidii umebanjuka aaah aaah
itabidii umebanjuka
mi dio deal deal baby kando real deal
dio maana nina utamu kila time mi n spill
tukipatana kwa club siunajua n lipa bill
bacy njo ukae n mi siunajua nakufeel
siwezi ku cancel kama maddy n kora
bt ningependa ukue kwa life yngu vi major
n mbaki n ww mbaka tushike bakora xiunajua mm na wewe my baby siuoanga n danger.
chorus
ooook tamu kama candy bar
oook tamu kama candy bar
oook tamu kama candy bar
cheza ulopa n ningoje na candy bar
oook tamu kama candy bar
oook tamu kama candy bar
oook tamu kama candy bar
cheza ulopa n ningoje na candy bar
verse 3
she is so fine ,she is so cool,uyu dam n mtrue
akipita n feel so nice atanikiwa n my girlfriend
akikubali mimi nitakwama na yeye ningependa twenda date tonight,uko fine zaidi ya wote paper ndani ya wallet
uyu dam n mtamu tamu ,tamu tamu
uyu dam n mtamu tamu tamu tamu
mi nataka akamu ,mi nataka akamu
mi n bang bang mbaka akamu
uyu dam n mtamu tamu,tamu tamu
uyu dam n mtamu tamu tamu tamu
mi nataka akamu mi nataka akamu
mi n bang bang mbaka akamu
chorus
oook tamu kama candy bar
oook tamu kama candy bar
oook tamu kama candy bar
cheza ulopa n ningoje na candy bar
oook tamu kama candy bar
oook tamu kama candy bar
oook tamu kama candy bar
cheza ulopa n ningoje na candy bar