
Bio na Chem Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Bio na Chem - Breeder LW
...
Intro
ayy
daddy daddy daddy
bazenga
mmh ey ey hehe
TK oya metro suka doba
verse 1
msupa aliguza chuma akazirai juu ajazoea vitu genje
amezoea hawa mawanabee wao hudishi pizaa si sembe
omena yangu ikuje dry fry ongeza mala na kunde
niki step ni ma nike wai siwezi teleza nidunde
whaak rapper rudi shule
nina mafun ady bunge
bazenga daddy ni jina biggie lakini flow ni silly
niko na diva na tuna vibe na tuko ndani ya duvet
me huzoza fully tangu 2005
zlatan bado akiwa juve warazi wapigwe ma heady za chest
me ndio zidane ady refa ana vex?
ka ni chuo nilipasingi test
after teo nilichomanga desk
we bado uko preps mi naruka fence
niko mahali na uni mi napewa head
hio ndio life ya nutcase
mmhh
f*ck bio na chem
ka ni funkie ni collombo na ma lopha ndani ya school bus
skuizi kwa fom ni kicollo kikiwashwa kiuzunguka nimejipin na ma condom juu waroro waujipa
na staki ma bunny wani follow ju ata mi si Jesus
chorus
F bio na chem
F bio na chem
F bio na chem
F bio na chem
F bio na chem
verse 2
kwa assembly sina nyonginyo
kwa comp lab naona nginyo
kwa dh nikona hot pot
kwa stuffroom ni viboko
sus ni mbili kwa mwezi mwakenya raua kamusi
aty good morning class niko kwa dorm nadoz na mask
nani ajafanya assignment
bazenga daddy ako absent
ni pe na mode ako daro chocha bell ringer
afanye mambo akuna wiki sina scandal
ady ma piri wanajua niko sturbon
lakini after ngoma na omollo ngoma na
benzo ikahit mi ni star boy
lakini sai niko kwa map nikaa nimechorwa kwa atlas
princy alisemaga mi ni failure lakini kuomoka ni sheria
niko katikati kama radius
heri ata nigeuke allien juu kwa moon akuna pano uko jupiter akuna syllubus
8-4-4 ni mzigo kidegree bila jobo
ama nigeuke roro ni tinge hatrika na machobo
anyway zef? bio na chem chuo ni chocha
chuo ni hell
aah hii ndio life ya nutcase
aah
F bio na chem
chorus
F bio na chem
F bio na chem
outro
bio na chem aaaaayyyyyy
Tk bazenga daddy manzee
usilete izo usilete izo bana si ni ma genius
lakini ma encyclopedia zii na ma oxford chorea .